Makapuku Forum

NUKUU YA LEO

"Climate change is happening, humans are causing it, and i think this is perhaps the most serious environmental issue facing us ''

''Mabadiliko ya hali ya hewa yanatokea, binadamu ndiye anayeyasababisha na nina fikiri kuwa linaweza kuwa jambo zito la kimazingira linalotukabili''.

Haya maneno yalitamkwa Novermber 26 2016, na Mtangazaji na mwandisi wa masuala ya mitambo Bw. William Sanford Nye, alimaarufu kama bill nye the science guy.

Bill nyee alizaliwa November 27 1955 huko washington D.C nchini marekani.Billy nyee alikuwa ni mwandisi mitambo (mechanical Engineer) wa ndege za boeng kabla ya kuacha kazi hiyo na kuanza kurusha vipindi vya kuchekesha na sayansi wa watoto.

Bill nye ameandika vitabu vingi kama The big bag Theory, Dancing with stars n.k, jamii ya wamarekani inatambua sana mchango wako hasa kwa vipindi vya sayansi kwa watoto wadogo, hivyo alishapata tuzo kadhaa.

wakuu Tunzeni mazingira! mazingira yatawatunza.
 
Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono dikteta Mussolin5
Tuwe na jumatano njema yenye heri na baraka katika kazi za mikono yetu
Asante kwa magazeti mkuu Shululu ubarikiwe,kazi yako ni njema asante mkuu Mussolin5 kwa udhamini ubarikiwe,jumatano njema kwenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…