Makapuku Forum

Makauzu kichizi ila Kundi la Taleban linawasumbua

Pia Afghanistan ipo kwenyec10 bora ya nchi maskini
.......
Hao makauzu ni akina nani? Ningekuwa wewe nisingekimbilia kupachika watu hizi label - makauzu, mbumbumbu, wajinga...There is always a story behind the veil [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuswali si wanakariri tu na kuimba kaswida ila wape walau gazeti wasome hawawezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Gazeti liwasaidie nini? Quran inajitosheleza na hawahitaji gazeti ili kuendesha maisha yao. Wanalima poppy na wanavuta mkwanja wa kutosha hawahitaji gazeti wala nini. Na ukiwavamia hata uwe na silaha kali namna gani wanakunyosha tu.
 
Yeah. Ni wazuri sana katika uwanja huo kwa sababu hawana njia nyingine ya kujipatia umeme.

***Kwa nini inakuwa nongwa Waafrika tukiomba kusaidiana sisi kwa sisi? Ni lazima wataalamu wawe wazungu au Wachina? Waafrika sisi yaani ni shida tupu aisee!
Sikuwa nimewaonea nongwa, ila majanga na misukosuko mingi, lakini wanaweza kuthubutu
 
It's a signature bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…