Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,231
- 68,258
Yuko poaAfande shedede niaje
Monie tooMorning guys
Aisee, sijui kwanini nakuwa wamwisho kufahamu mambo yanayoendelea humu.
Ilianza ya Shunie kuanzishiwa uzi (sorry, jukwaa limenitoka). Leo tena nimeona shedede na husna muba wameanzisha uzi.
Duh, huwa nasikia tu, oh tukutane kule, wala sijui ni wapi kumbe kuna kuhamisha magoli ya huku na kuyapeleka kwingine.
Shilawaduuuu nakuonaaaUnajua kuwa Shunie ndie alikuwa kuwadi.
Amen mamy3 Yohana 1
2.Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yako yote na kuwa na afya yako ,kama vile roho yako ifanikiwavyo.
TUOMBE
Asante Baba kutufikisha umbali huu.
Tunaomba toba kwa yote tunayokosea.
Bariki kazi za mikono yetu
Ponya wagonjwa ,watie nguvu wafiwa,wajane na yatima
Ponya familia na uzifanikishe katika afya,mwili na roho.
Tembea nasi siku ya leo
Roho Mtakatifu tuongoze tupe hekima katika kila jambo
Asante Baba kwa kuwa unatupenda na unatufanikisha
Najua utafanya sawasawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu naomba na kushukuru.
Amen
Siku njema wapendwa Mfanikiwe kama neno lisemavyo,hiyo ni ahadi ya Mungu kwetu.Hivyo ni haki yetu tukiri mafanikio Amen
Leo katika Historia:
1974 - Josip Broz Tito anachaguliwa kuwa Rais wa Maisha wa Yugoslavia.
Ha hahhahhah, wewe endelea kuwa mtizamaji mimi ninabaki kuwa mpenzi msikilizaji
Siku mama mchu.....akikukubali utaandika Uzi etHa hahhahhah, wewe endelea kuwa mtizamaji mimi ninabaki kuwa mpenzi msikilizaji
asante, nawe piaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
HV bado yuko hai uko aliko?!1997 - Rais Mobutu Sesseseko wa Zaire anakimbia nchi baada ya serikali yake kupinduliwa.
Sio wamwisho sema unachelewa kufahmu, mimi sijawahi hata kuyajua hayo uyasemayo
Happy birthday to him1953 - Pierce Brosnan anazaliwa.
Ni actor kutoka nchini Marekani.
Amewahi kuigiza movie za James Bond, akiwa kama James Bond.
Happy birthday to her1966 - Janet Jackson anazaliwa.
Mwanamuziki toka nchini Marekani.
Ni dada wa mwanamuziki nguli wa zamani wa pop, Michael Jackson.
Asante mkuuLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Nakuja usiku, naona ndio muda mzuri. Mchana nakua busyitakuwa hauji Mara kwa Mara humu
Unacheka!!