Makapuku Forum

Haikuhusu
Usitupangie cha kuchat
Kila kitu ni FREE
..........................

Mkuu sisi tumeamua kuchanganya wewenyewe na wala hatuoni tabu.

Ha wanaolalamika ndo nawashauri, mambo ya serious kwenye jukwaa la mammbo ya kijinga wapi na wapi?


Ameizing alitoa somo la kilimo cha matikiti wakamponda, mnataka nin tena?
 
Usiumie hakikuelewa tu
 
Usiumie hakukuelewa tu
Usiumie hakikuelewa tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…