Makapuku Forum

Asante Mkuu kwa wazo zuri, naamini si Makapuku wote tunafanya kazi ama tumejiajili. Kuna wengine hawana kazi, tukianzisha huu mpango wa kuelimishana na kupeana maujuzi mbalimbali naamini tutadhihirisha ukapuku wetu na heshima tutazidi kuikuza zaidi.

Ni Mtazamo tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…