ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Poa mkuu.Buheri wa afya mkuu
Karibu ukapukuni.
Poa mkuu.Buheri wa afya mkuu
Haya bossNakupa tahadhali kabla ya hatari.
Hapa [emoji482] [emoji482] [emoji481] [emoji483] [emoji485] [emoji485] kulala kila mtu kwaoHalafu mtalala wapi?
Zilikuwa mbiliSasa unaanzaje kuuza nyumba ya urithi halafu ukaweke heshima bar.
Akili za weekendSasa unaanzaje kuuza nyumba ya urithi halafu ukaweke heshima bar.
Yule dada naye ana wenge juzi nimeona povu linamtooooka[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] .Thubutu kukutwa na Lara1 ukimshadadia Mondi!![emoji12]
Kweli mimi pia naona.Akili za weekend
Mimi mlokole mkuu.Hapa [emoji482] [emoji482] [emoji481] [emoji483] [emoji485] [emoji485] kulala kila mtu kwao
Nikupe code uibuke???
Sidhan, japo naona wana shabihiana. Amesharudiwa na mme wake kwanz huyo Mangi Kimambi!?Yule dada naye ana wenge juzi nimeona povu linamtooooka[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] .
Eti watu wanasema lara 1 ni yule MANGE KIMAMBI wa kule insta.
[emoji241] hapo vipiMimi mlokole mkuu.
Hapa ndio home, kwingine tunapita tuPoa mkuu.
Karibu ukapukuni.
Nadhani ukitumia usafiri wa ungo JF haifanyi kazi.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Safari njema braza mshana jr, lakini ukumbe jf iko popote unakoenda.
Tutakumiss sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shindwaaa.[emoji241] hapo vipi
Juice pia zipoMimi mlokole mkuu.
Labda uniletee home.Juice pia zipo
Bora tu arudi kwa mumewe maana stress za kuachwa zilikuwa zinampa shida.Sidhan, japo naona wana shabihiana. Amesharudiwa na mme wake kwanz huyo Mangi Kimambi!?
Sasa akikuletea huko mimi ataniacha na naniLabda uniletee home.