Makapuku Forum

Makapuku Forum

592d672efd6e06319769fbb279c6d664.jpg
c397b0cc5a5dd615cb729a797c671c1b.jpg

Ila Hitler baada kugundua wana IQ kubwa na nguvu akaamua kuwapunguza kwa kufanya mauaji kibao
....
Aliwauwa sana na alisema hivi nachokifanya sasa hamuwezi kukijua, ila baadaye mtaelewa

Swali, je asinge wauwa Dunia leo hii ingekuwaje?
 
Yanga ubingwa wetu tayari
Anayebisha ni mchawi tu
88b25ce7bd66924778b936544d0d22dd.jpg
8d10632008417902a871ed63d0a27133.jpg
Ila mechi ya jana ilikuwa haswa baada ya Msuva kuumia wakati alifunga na hivyo kutoka
Wanyakyusa sijui walikuwa wanatafuta sifa...goli lao liloluwa maridadi hasa ukimuangalia kaka jambazi(Bossou) alivyopelekeshwa kea chenga hadi kulala chini
.
.
.
Shukrani mkuu kwa magazeti
.......
Pamoja sana bitoz

Ubingwa yanga kashachukua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom