Makapuku. Naona pain medication imeanza kuisha kwa sababu nasikia jino limeanza kusumbua. Ngoja nilale. Asanteni nyote kwa maongezi murua. Mpaka nilijisahau kama nina maumivu ya jino. You guys are like a family to me. Shedede na Husna (the newest Makapuku couple) kila la heri katika urafiki wenu. Shunie, I hope you feel better. Pray! Mungu Akipenda basi tusemeshane kesho. Goodnight!