Makapuku Forum

*Muhindi 1 alibadili dini na mchungaji akamwambia kila unapokula usisahau kusali sala ya baba yetu, la sivyo utakua unakula na shetani. Basi yule muhindi kuna kipindi alisahau kusali kwa miezi miwili , SHETANI akamfuata Mchungaji akamwambia mkumbushe muhindi Kusali maana ataniuwa kwa pili pili! [emoji23][emoji28]*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji97][emoji97][emoji97][emoji97][emoji97][emoji97][emoji97][emoji97][emoji97][emoji97][emoji97]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…