Makapuku Forum

1983 - Yaya Toure anazaliwa.

Kiungo wa Man City na timu ya taifa ya Ivory Coast.
Aliwahi pia kuchezea Barcelona.

Moja ya viungo bora kuwahi kutokea katika bara la Africa. Anasifika kwa kumudu kucheza katika jukumubla Box-to-Box midfielder ambapo anauwezo wa kukaba na hapohapo uwezo wa kushambulia.

Ametwaa kila taji kwa ngazi ya klabu.
 
Waturuki kwa kuua tu hawajambo

Papa John Paul anatufundisha kusamehe, hata kama umetendewa ukubwa gani wa ovu,lazima usamehe
 
HBD Yaya
 
1993 - Romelu Lukaku anazaliwa.

Mshambuliaji wa Everton na timu ya taifa ya Ubelgiji.
Aliwahi pia kupitia Chelsea akauzwa na kocha wa kipindi hiko Jose Mourinho.

Anatajwa kama Drogba wa zama hizi. Ndie anayeongoza kwa ufungaji EPL.

Akiwa West Brom kwa mkopo akaweka rekodi ya mchezaji wa kwanza kutokea Benchi na kwenda kufunga Hat trick dhidi ya Man Utd katika EPL ambapo mechi hiyo iliishia 5-5 nayo ikiwa ni rekodi ya pekee kwani hamna mechi iliyowahi kuisha 5-5.
Ilikuwa ni mechi ya mwisho kwa Ferguson kabla ya kustaafu Ukocha.
 
Aisee, HBD lukaku
 

Msanaha wa sina hii inatokea kwa nadra sana
Heshima kwa Papa
........
 
Kizazi chao cha dhahabu Kodivaa cha akina Gervinho,Kalou n.k kilichemsha tofauti na matarajio ya wengi
Wakaja kubeba AFCON kichovu wakati wameshaanza kusambaratika huku wengine wakiwa wameshabwaga manyanga
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…