shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Nenda ukawabanieyanga hainihusu
Nenda ukawabanieyanga hainihusu
Yapsawa kama ww vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yapo kwake tuNi manjonjo ya jf hayo
[emoji23][emoji23][emoji23] chelsea vipiNilikuwa naangalia mpira, umeisha naitafuta kibaha sasa
hahah shemela hapendi mada za kutamanisha yan ujue anakasirika kweliAnapenda huyo, sema tu hawezi kukuambia
Tangu nimekunywa wine [emoji485] saa 2,nusu glassww huyo ushalipuka
kama namuona kante wanguWest brom 0 Chelsea 1
Mimi mwenyewe jana avatar yako ilikuwa ndio avatar yangu, usiku kama hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yapo kwake tu
Kashinda 1[emoji23][emoji23][emoji23] chelsea vipi
Mmh halaf unapenda wineTangu nimekunywa wine [emoji485] saa 2,nusu glass
AiseeMimi mwenyewe jana avatar yako ilikuwa ndio avatar yangu, usiku kama hivi
Ndiyo kinywaji changuMmh halaf unapenda wine
haunywi zaidi ya wine unapendelea wine ganiNdiyo kinywaji changu
Nikienda Dom nitakuletea ile ya kiwandani, au hutumiiMmh halaf unapenda wine
Asante nitashkuru mm sio mpnz sana wine huwa mara moja sanaNikienda Dom nitakuletea ile ya kiwandani, au hutumii
Dompo na dodoma wine [emoji485] sweet (red wine [emoji485])haunywi zaidi ya wine unapendelea wine gani
MhSamtaimu uwe unaangalia ukubwa wa kosa km limepoyeza mantiki ya kilichoandikwa
Mimi niliandika Nollywood ila simu iliyobadili N ikawa B hivyo Ikasomeka Bollywood na sikuona
Ila kila mtu anajua Nigeria ni Bollywood
Unaweza uksandika "uwe" lakini simu ikabadili na kuwa "use"
Tushupalie makosa makubwamakubwa yenye umuhimu na sio vitu vidogodogo
Tukutane kesho
Usiku Mwema
.............
Dompo wine ya leeDompo na dodoma wine [emoji485] sweet
Vipi tena
UmesomekaSamtaimu uwe unaangalia ukubwa wa kosa km limepoteza mantiki ya kilichoandikwa/kusudiwa
Mimi niliandika Nollywood ila simu ilibadili N ikawa B hivyo Ikasomeka Bollywood na sikuona
Ila kila mtu anajua Nigeria ni Bollywood
Unaweza uksandika "uwe" lakini simu ikabadili na kuwa "use"
Tushupalie makosa makubwamakubwa yenye umuhimu na sio vitu vidogodogo
Tukutane kesho
Usiku Mwema
.............