Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Aisee ulipo net shidaKwangu avatar zote hazionekani kwa muda huu
Aisee ulipo net shidaKwangu avatar zote hazionekani kwa muda huu
Nipe updateNiko hapa kibo complex nilikuwa nawabania Chelsea, sasa narudi zangu mkoani
Yap
Ebu ujue sijamuelewaHaaaaahaaaa, utangulizi
Ili kuweka mambo sawammh kwani unaulizia chimbuko au leo story zetu
Mbona kawaida sana hapa mjini, mambo hayoKwahiyo kuishi mbagala bata kimara
Hahahah hunitakii mema unataka niachikeMa handsome
yanga hainihusuSiku moja moja, na ikitokea hivyo jua silali mbagala nitalala huko Kimara
Kesho tukutane pale Taifa
AiseeLet me guess
Ulianzia kwa wale wadada wanaocheza na kanga moja kwenye clubs
Hasa maisha basement
Badala ya kanga moko sasa ni mwendo wa misambwanda
Voda wanazingua hawa mara 3g Mara E mara H+ yaani tafraniAisee ulipo net shida
sawa kama ww vileMbona kawaida sana hapa mjini, mambo hayo
Vitu vipo kichwanihahahha ina nini
Ni manjonjo ya jf hayoKwangu avatar zote hazionekani kwa muda huu
PoyeeeVoda wanazingua hawa mara 3g Mara E mara H+ yaani tafrani
ww huyo ushalipukaVitu vipo kichwani
Nilikuwa naangalia mpira, umeisha naitafuta kibaha sasaunapapenda kibo au unaishi madale sio kinyerezi
Anapenda huyo, sema tu hawezi kukuambiahahahha mtaniponza niachike lee hapendi nianzishe mada
West brom 0 Chelsea 1Nipe update