Makapuku Forum

kama huyo ni model mama mchuchu lazima avae hivyo tumuone
 
2/Joselyn Damas

Huyu ni muongoza vipindi vua luninga huko Ghana
Pia ni mwigizaji anapatikana kwenye muvi kama Silver Rain,A Sting in aTale na mfululizo wa muvi za Adams Apples
Ana umri wa miaka 36 lakini anaonekana kama kigori
........
Mzuri nimeipenda hiyo nguo yake ya kitenge ya pili ngoja nimpelekee fundi wangu wa kibarazani akanishonee
 
1/Noni Zondi

Huyu ni celeb wa huko Afrika Kusini
Anaishi pia jijini London
Hujishughulisha na mambo mengi ya Sana'a ikiwepo muziki
.
.
.
Shukrani kwa mliofuatilia mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
...............
 
Ila huwa inaisha baada ya muda utafanya nini mkuu ukiporomoka?utatafuta mngine au ?
Kwani wasio na misambwanda huwa hawaporomoki? Father time spares no one, isn't it? Akifikia hatua ya kuporomoka na mimi nitakuwa nimeporomoka kwa hivyo tunakwenda kwenye hayo maporomoko pamoja na miporomoko yetu HAPPILY. Kwema mtumishi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…