Makapuku Forum

Mimi Kuanzia Kesho Nitaanza Kuwaletea vipengele viwili: Stupid Criminals na Leo Katika Katuni. Pendekezo zuri sana waungwana!

Stupid Criminals itakuwa poa sana naamini na itavutia, itaamsha mijadala.
Napenda katuni, ni kitu cha kwanza naangalia nikiazima gazeti, napenda zile kisiasa, na za uswazi.
Nitasubiri sawa na wengine, all the best
 
5/Peace Hyde
Huyu ni binti wa Kighana
Ni mwongoza vipindi vya luninga na matamasha katika nchi za Ghana na Uingereza
Ni binti kichwa aliyepata Shahada ya kwanza bila kusapua !!! Ana Degree in Psychology(Hons) kutoka Middlesex University huko kwa Malkia
Ametajwa karibu kwenye kila jarida linalozungumzia wanawake wenyewe mvuto barani Afrika
........
 
Aisee
 
Yuko njema sana 50/50
 
Hiyo picha ya pili utakua umeichanganya huyo ni model wa kenya corazon
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…