Makapuku Forum

Thread imegeuka na kuwa ya mtongozano 24/7, masaa mengi wachangiaji ni wale wale wanaotongozana, Hapo unategemea nini kama si kupooza?

mf. amaizing alikwishaleta wazo la kilimo cha matikiti na wengi tuliishia ku-like tu bila kuchangia au kushauri..

Leo kuna mtu katoa wazo "kwa nini tusipeane michongo, na mbinu za kilimo na kujenga ukaribu". Matokeo yake kama kawaida yetu tumeishia ku-like kama kawaida yetu.

tubadilike
 
we ni kapukuu

Umekosea thread kaka huku ni kwaakapuku tuu

IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI
MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI
 
Mkuu mandela umeongea points sana.
Mimi pia nilikuwa nashauri kama kuna mtu ana wazo ama jambo loloto linamsumbua na anaona anashindwa kuanzisha thread alete hapa sisi kama members tuweze kulichangia kwa ufasaha.
 
ni kweli kabisa mkuu, wazo zuri na pia litasaidia wale wote wenye nia ..
 
Ameizing alitoa somo la kilimo cha matikiti wakamponda, mnataka nin tena?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…