HeeeDemu wangu wa kwanzaaaa!
Alitoka muheza...! Aliitwa V..
Aisee...huyo mtoto alikuwa ni kisuu blaa..ila nilipendaga lips zake na macho tuu
nilitegemea ule mchezo wa kuruka na kamba ktk maghorofa au wale wa kuruka kutoka ktk ndege wanatengeneza maumbo mbalimbali angani1/Horseback Riding
Huu mchezo ukiuangalia unaweza kuuchukulia poa lakini nenda kajaribu kuucheza
Mara nyingi ajali zake zina risk kubwa mfano kukanyagwa na far as I,kuangukia kichwa n.k
.
.
.
.
Ahsanteni kwa kufuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
.........
Usinambie umemfata ray hadi hukuNimefurai
Habari Makapuku!
Kama kawaida leo tuna zile mechi za Futuhi zitawajia hivi punde, sina hakika kama Azam wataonesha 😀
cc. Nyagei
asee! awa jamaa sijiu wana wazaga nini! michezo hii kibongo bongo wangekufa sana2/Bull riding
Mchezo huu wa kucheza na ng'ombe dume ni hatari
Hawa ni ng'ombe walioshiba wa miraba mine sio wale njaanjaa wa Chato na Kolomije
Ilitokea ajali mfano ya kukanyagwa unaweza kujikuta unajinyea kabisa,kuvunjika mbavu pamoja na kupasuka kiungo vya ndani
Wengi hufia hospitali wakipatiwa matibabu
Pia kipindi kingine ng'ombe hupandisha kichwa na kuanza kujeruhi mashabiki
.........
Hata sina uoga mie we mchukue tu nimekuachiaacha woga banaa
karibu! mpaka chumbaniHodi jamani
SimtakiiiHata sina uoga mie we mchukue tu nimekuachia
sawa bitozi naelewa aukosei na aupotezi!1/Horseback Riding
Huu mchezo ukiuangalia unaweza kuuchukulia poa lakini nenda kajaribu kuucheza
Mara nyingi ajali zake zina risk kubwa mfano kukanyagwa na far as I,kuangukia kichwa n.k
.
.
.
.
Ahsanteni kwa kufuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
.........
Kwanini tena jamaniSimtakiii
Pole Shem
Mawe yanaanguka huko Lushoto eneo LA vugha road yamedondokea gari majeruhi wamekimbizwa hospital
lushoto kwetu Mungu asaidie
Nimegundua ni kaka yangu yuleKwanini tena jamani
ikifika chini hiyo pikipiki ndio utajua kwanini beki 3 halipi kodi
Tuliza boli acha kiherehere kwenye mambo ya watu. Msambwanda unao?
Mother nature anamaanisha matukio ya nature.....or sorry AsiliMsukuma kumbe upande msambaa shikamoo