bora hiyo ajali ya nguo aisee4/Gymnastic
Huu nao ni hatari pindi mtu anapokesea mahesabu huweza kuvunjika vibaya
Pia wakati wa kuruka juu unaweza kuzidisha kipimo au kupunguza sasa utajikuta unaangukia sehemu isiyo na godoro na hapo lazima uvunjike au pengine kufa
Pia kuna ajali za nguo kuchanika hivyo kujikuta unakaa uchi mbele za watu/kamera
........
Haunihusu cho chote. Nilikuwa namkanya tu kwa sababu inaonekana kanishupalia kweli kweli. Nilikuwa namsaidia kutua mzigo alionao!
home sweet home 😉Mkuu nimeishi kule miaka mitatu hivyo tayari nina "mali zangu" hivyo narudi mara mojamoja
Watoto wa kule kiukweli wapo poa
......
Nimeshatulia Bi. mkubwa. Naona una adikisheni na mimi leo. Kila ninachoweka lazima ujibu
Tumosa mpendwa. Hujanikwaza. Nilipokuwa mgeni hapa nilikuwa sensitive sana. Muulize Bitoz atakwambia jinsi alivyokuwa ananipelekesha. Hata Shunie japo siyo sana. Baada ya kugundua nature halisi ya makapuku basi nika-relax. Tunacheka, tunaburudika na hakuna kitu serious hapa. Ndiyo maana napapenda sana! Jisikie huru kabisa na hujanikwaza hata chembe. Na mimi kama nimekukwaza kwa namna yo yote ile nisamehe. Nina tabia ya kuandika sana na sometimes huwa napitiliza. Ndiyo maana Shunie kanipachika ubishi. Tuko pamoja!Sina mzigo wowote ila nlikuwa narefer maelezo yko juu ya unataka ke wa aina gan ,sorry kama nmekukwaza
Aisee c kwa michezo hyo3/Cheer leading
Huu mchezo wa sarakasi za angani/kubebana huchezwa zaidi na wanawake
Na wenyewe unatajwa km miongoni mwa michezo hatari pindi inapotokea la kutokana mfano wanapokesea kukurusha au kukudaka utaweza kuanguka vibaya na kujeruhiwa au pengine kupoteza maisha
.......
Sawa mama. Na siyo kila msambwanda huparamiwa. Can I breath now?
kibongo bongo bado sanaaa3/Cheer leading
Huu mchezo wa sarakasi za angani/kubebana huchezwa zaidi na wanawake
Na wenyewe unatajwa km miongoni mwa michezo hatari pindi inapotokea la kutokana mfano wanapokesea kukurusha au kukudaka utaweza kuanguka vibaya na kujeruhiwa au pengine kupoteza maisha
.......
Kwa kuandika tu kweli unaandika... Si mchezo.Tumosa mpendwa. Hujanikwaza. Nilipokuwa mgeni hapa nilikuwa sensitive sana. Muulize Bitoz atakwambia jinsi alivyokuwa ananipelekesha. Hata Shunie japo siyo sana. Baada ya kugundua nature halisi ya makapuku basi nika-relax. Tunacheka, tunaburudika na hakuna kitu serious hapa. Ndiyo maana napapenda sana! Jisikie huru kabisa na hujanikwaza hata chembe. Na mimi kama nimekukwaza kwa namna yo yote ile nisamehe. Nina tabia ya kuandika sana na sometimes huwa napitiliza. Ndiyo maana Shunie kanipachika ubishi. Tuko pamoja!
Husna vp.. Naona unacheka tu
NimefuraiHusna vp.. Naona unacheka tu
Haina shda tupo hapa kufurahi na kupumzisha akili,nashukuru kama hujakwazikaTumosa mpendwa. Hujanikwaza. Nilipokuwa mgeni hapa nilikuwa sensitive sana. Muulize Bitoz atakwambia jinsi alivyokuwa ananipelekesha. Hata Shunie japo siyo sana. Baada ya kugundua nature halisi ya makapuku basi nika-relax. Tunacheka, tunaburudika na hakuna kitu serious hapa. Ndiyo maana napapenda sana! Jisikie huru kabisa na hujanikwaza hata chembe. Na mimi kama nimekukwaza kwa namna yo yote ile nisamehe. Nina tabia ya kuandika sana na sometimes huwa napitiliza. Ndiyo maana Shunie kanipachika ubishi. Tuko pamoja!
Karibuuu.. Umekuja na kababuuu??Hodi jamani