Makapuku Forum

7/Boxing
Hapa tunaongelea ndondi za kawaida pamoja na n ickboxing
Juzijuzi tu zimepigwa ngumi za kufa mtu kati ya Anthony Joshua na Vladimir Klitschko's ambapo tulishuhudia ngumi nzito kama mawe
Pia sio muda mrefu mdogo wa Matumla alizimia uwanjani baada ya kupigwa ngumu ya kichwani
Hapa wengi hupata madhara ya muda mrefu au mfupi
Mfano inasadikiwa Muhammad Alli baada ya kustaafu ngumi alipata ugonjwa uliotokana na madhara ya kupigana ndondi ambazo ziliathiri sehemu ya ubongo
Ila hawa jamaa huvuta mkwanja mrefu si mnamkumbuka yule mswahili Floyd Mayweather Jr
.......
 
Napenda kuangalia huu mchezo
 
tunamkumbuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…