Makapuku Forum

Watoto wanaonyonya vidole huwa ni wapole sana utotoni unaweza mlaza njaa maana wanajifariji sana,nina mtoto mmoja alinyonya vidole na mjukuu mmoja ananyonya ni wa kuwafuatilia sana kuhusu kula,kumbadilisha na kumpa faraja unaweza chukulia kashiba kumbe anajipa faraja na kunyonya.

Kumbe hata tembo...Mungu ni mkubwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…