Nyodo zetu wakongwe zimeanza kufutika
Makapuku sasa wanakubalika
Wametoa thread ya uhakika
Nguvu yao kubwa kwa hakika
Maskini nyota zetu zinazidi kufutika
Tulijifanya tuna mkono wa birika
Makapuku wao wana ushirika
Chini ndo tunazidi kutiririka
X 3
Naupenda huu wimbo umeimbwa na Ngedere Ungabu feat FaizaFix
..................
Salama mkuu, naona umeadimika hatareeJambo makapuku?
Natamani ningeweza kuwa mlinzi mkuu Jambilo....nafsi ipo radhi lakini mwili ni dhaifu.Leo uwe mlinzi
Napendaga hivi vidole tobo vyako!Hakika
Asante sana mkuu, usiku mwema kwako piaLeo nimepitwa na mambo mengi ila naamini yote kheri......maisha yananifanya nikimbie coz nikitulia yananikimbiza mpaka nashindwa kushirikiana na makapuku wenzangu.....Niwatakie weekend njema, Sabato njema, popoz mkesha mwema, wanaolala mapema kama mimi usiku mwema....Jah bless
Ahsante mkuu Kiwelupowa, muda mwema
powa, muda mwema
salaam, kwemaa?
Ahsante mkuu Jimena...na kwako piaAsante sana mkuu, usiku mwema kwako pia
Yes I and I
Utalinda siku nyingine mkuuNatamani ningeweza kuwa mlinzi mkuu Jambilo....nafsi ipo radhi lakini mwili ni dhaifu.
Unavipendea nini sasa? We nae una mambo mengi kama unga wa nganoNapendaga hivi vidole tobo vyako!
Hahaha jimena, leo niko kivingine, usiniwazie mabaya...napenda bila sababu dadakeUnavipendea nini sasa? We nae una mambo mengi kama unga wa ngano
Mi bado sijauona wala kuusikia zaidi ya kuusoma kwenye mitandao tu, ila ntaitafuta Youtube walau nipate kuusikiaWazima humu jamani... Young leo nimeona video ya ndindindi... Sijui kama Jide anakuvutiaga lkn huo wimbo ni matata sana aisee... Nimemuona toli akitimuliwa na ndindindi.. Acha aisee... Mpende nahrene for really usije kuwa kama ndindindi
Safari njema kaka mkubwaPenda sana nyie naomba niwaageni kesho naelekea Juba Sudan kupitia Kahama Bk Kampala, tawamiss sana