Habari zenu ndugu zangu...
Naomba muusikie wimbo wangu huu nilio imba mwenyewe..
nimesha rikodi nyimbo 2 zakwangu ila hazijawahi kulizwa popote labda kwa marafiki zangu wa nyumbani.
wimbo huu nimeurikodi December 2016
natumia jina la dah pressure mungu akipenda nitabadiri liwe Mondray
nikosoeni please..