Wanaiasa wapo kimaslahi zaidi
Jiulize Dereva au muhudumu wa mochwari awe na elimu ya form 4 lakini mbunge awe anajua kusoma na kuandika tu
Pia rasimu ya katiba mpya waliondoa vifungu vyote vinavyowagusa mfano Wabinge wasiwe Mawaziri...usishangae katiba mpya hadi leo kimya sababu haina maslahi kwao
....
..
.
My BMimi nilidhamini ya juzi na BlessedHope leo kadhamini My B na Tumosa
Hahahaha Shunie mbona hii habari ngeni?ameniona wapi?hatarihahahh ndio kama ya mondray alivyopeleka harakati kwa mama mchuchu nafsi inamsuta kukuta mama mchuchu ni zaidi ya mama ake
Ahsante sana BlessedHopeAsante mkuu Nyagei kwa taarifa,ratiba na msimamo wa ligi mbalimbali ubarikiwe[emoji120]
Hakika mama mchungajihamna kitu kizuri kama kuridhika na ulichonacho na kumshukuru Mungu kwa kukupa alichokupa
Amen[emoji524] 1 WATHESALONIKE 5
16. Furahini siku zote.
17.Ombeni bila kukoma .
18.Shukuruni kwa kila jambo;maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Yesu Kristo.
19.Msimzimishe Roho.
20. Msitweze unabii.
21.Jaribuni mambo yote ;lishikeni lililo jema.
22.Jitengeni na ubaya wa kila namna.
[emoji122] [emoji122]
Acheni hizoo basi..
Mkono wenye nuksi
....
Morning papaaGoodmorning family.....[emoji7]
Hawataki spotiUSA wanadai hadi visenti
......
AlituambiaHahahaha Shunie mbona hii habari ngeni?amenuona wapi?hatari
Don't take too seriouslyAcheni hizoo basi..
[emoji109] [emoji109]watu wafupi na hizi mvua wakijifunika mwamvuli unaweza kudhani uyoga unatembea [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Nipo kaka BWANA ANANIIMARISHA[emoji120]Hata mkiandamana tutatumia lugha ya kwetu na nitamwalika na mama mchungaji ili tushinde
Shunie[emoji23] [emoji23] [emoji23]mama mchuchu hana mdogo
Ananiuguza[emoji12] [emoji12]Khaaa [emoji134] [emoji134] na baba mchuchu anafanya kazi gani