Makapuku Forum

Wakuu usiku mwema ibada ni bora kuliko usingizi

Tushukuru kwa yote kupata kukosa yote ni majibu yake mungu

Tusichoke kuomba
1 WATHESALONIKE 5

16. Furahini siku zote.

17.Ombeni bila kukoma .

18.Shukuruni kwa kila jambo;maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Yesu Kristo.

19.Msimzimishe Roho.

20. Msitweze unabii.

21.Jaribuni mambo yote ;lishikeni lililo jema.

22.Jitengeni na ubaya wa kila namna.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…