Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Apr 22, 2016 #18,341 youngblood said: Wewe huna maana kabisa. Click to expand... Hahahaaa mtoto tulia, pastor anapoleta utata ndipo michango nayo inazidi so likes zinazidi na uzi unatembea alaaa
youngblood said: Wewe huna maana kabisa. Click to expand... Hahahaaa mtoto tulia, pastor anapoleta utata ndipo michango nayo inazidi so likes zinazidi na uzi unatembea alaaa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 22, 2016 #18,342 Bitoz said: Nipo na Th Name Live hapa ............... Click to expand... Hamna kapicha wakuu?
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Apr 22, 2016 #18,343 youngblood said: Habari za mchana wakuu. Click to expand... mchana ushapita mbona .. karibu lkn
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 22, 2016 #18,344 youngblood said: Sasa wewe kwanini unamsumbua? Click to expand... We umeuonaje huo usumbufu? Mbona ye hajauona??
youngblood said: Sasa wewe kwanini unamsumbua? Click to expand... We umeuonaje huo usumbufu? Mbona ye hajauona??
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 22, 2016 #18,345 youngblood said: Habari za mchana wakuu. Click to expand... Kwani huko uliko ni saa ngapi mwenzetu?
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 22, 2016 #18,346 jambilo said: Hahahaaa mtoto tulia, pastor anapoleta utata ndipo michango nayo inazidi so likes zinazidi na uzi unatembea alaaa Click to expand... Wewe kwangu nakuona mwizi tu
jambilo said: Hahahaaa mtoto tulia, pastor anapoleta utata ndipo michango nayo inazidi so likes zinazidi na uzi unatembea alaaa Click to expand... Wewe kwangu nakuona mwizi tu
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 22, 2016 #18,347 Jimena said: Kwani huko uliko ni saa ngapi mwenzetu? Click to expand... Jua linachomoza.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 22, 2016 #18,348 Jimena said: We umeuonaje huo usumbufu? Mbona ye hajauona?? Click to expand... Nasikia umempa majibu mabaya wakati alikuwa anategemea mambo mazuri kutoka kwako.
Jimena said: We umeuonaje huo usumbufu? Mbona ye hajauona?? Click to expand... Nasikia umempa majibu mabaya wakati alikuwa anategemea mambo mazuri kutoka kwako.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Apr 22, 2016 #18,349 Mabibo Beach ......................
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 22, 2016 #18,350 youngblood said: Jua linachomoza. Click to expand... Saa ngapi??
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 22, 2016 #18,351 youngblood said: Nasikia umempa majibu mabaya wakati alikuwa anategemea mambo mazuri kutoka kwako. Click to expand... Sasa umesikia wapi? Maana jibu bado halijatolewa
youngblood said: Nasikia umempa majibu mabaya wakati alikuwa anategemea mambo mazuri kutoka kwako. Click to expand... Sasa umesikia wapi? Maana jibu bado halijatolewa
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 22, 2016 #18,352 Jimena said: Saa ngapi?? Click to expand... Saa kumi na mbili alfajiri mkuu.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 22, 2016 #18,353 MANDELAA KIWELU said: mchana ushapita mbona .. karibu lkn Click to expand... Asante mkuu,unajua huku kwetu ndiyo kwanza jua linachomoza.
MANDELAA KIWELU said: mchana ushapita mbona .. karibu lkn Click to expand... Asante mkuu,unajua huku kwetu ndiyo kwanza jua linachomoza.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 22, 2016 #18,354 youngblood said: Saa kumi na mbili alfajiri mkuu. Click to expand... Sasa mbona ulisalimia habari za mchana?? We lazima Umeamka na
youngblood said: Saa kumi na mbili alfajiri mkuu. Click to expand... Sasa mbona ulisalimia habari za mchana?? We lazima Umeamka na
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 22, 2016 #18,355 Jimena said: Sasa umesikia wapi? Maana jibu bado halijatolewa Click to expand... Nimesikia na nimeona pia,asubuhi dogo alikuwa analialia hapa.
Jimena said: Sasa umesikia wapi? Maana jibu bado halijatolewa Click to expand... Nimesikia na nimeona pia,asubuhi dogo alikuwa analialia hapa.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 22, 2016 #18,356 Jimena said: Så mbona ulisalimia habari za mchana?? We lazima Umeamka na Click to expand... Nahisi nimekula ya maharage ya gwajima.
Jimena said: Så mbona ulisalimia habari za mchana?? We lazima Umeamka na Click to expand... Nahisi nimekula ya maharage ya gwajima.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 22, 2016 #18,357 youngblood said: Nimesikia na nimeona pia,asubuhi dogo alikuwa analialia hapa. Click to expand... Mmmmmm Kwahiyo mtu akiumwa hapa KF ni sababu ya Ximena??
youngblood said: Nimesikia na nimeona pia,asubuhi dogo alikuwa analialia hapa. Click to expand... Mmmmmm Kwahiyo mtu akiumwa hapa KF ni sababu ya Ximena??
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 22, 2016 #18,358 Mbona watu wamekimbia humu.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 22, 2016 #18,359 youngblood said: Nahisi nimekula ya maharage ya gwajima. Click to expand... Hahahahahaha basi bora ujitapishe
youngblood said: Nahisi nimekula ya maharage ya gwajima. Click to expand... Hahahahahaha basi bora ujitapishe
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 22, 2016 #18,360 Jimena said: Mmmmmm Kwahiyo mtu akiumwa hapa KF ni sababu ya Ximena?? Click to expand... Alisema hawezi kupona hadi akuone!
Jimena said: Mmmmmm Kwahiyo mtu akiumwa hapa KF ni sababu ya Ximena?? Click to expand... Alisema hawezi kupona hadi akuone!