Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
ww ndio lee au hii pia ni I'd yakeNani anakusumbua Huyo, hivi hajui wewe ujiumwa mafua mm huku naumwa homa kabisa, mwambie akuache bhana
ww ndio lee au hii pia ni I'd yakeNani anakusumbua Huyo, hivi hajui wewe ujiumwa mafua mm huku naumwa homa kabisa, mwambie akuache bhana
Ngoja aje
Muulize tu mama maana haeleweki kabisa.mwambie aniache kabisa nideal na wale wengine japo kwa kujibanabanahivi una wapenzi wangapiii
hahahhh kazi mnayo dearMuulize tu mama maana haeleweki kabisa.mwambie aniache kabisa nideal na wale wengine japo kwa kujibanabana
ntamchakaza mpaka utamsahauNgoja aje
Mimi sio leeww ndio lee au hii pia ni I'd yake
yani mpk unatia hurumaMuulize tu mama maana haeleweki kabisa.mwambie aniache kabisa nideal na wale wengine japo kwa kujibanabana
Heeee huu ugomvi siamliiNani anakusumbua Huyo, hivi hajui wewe ujiumwa mafua mm huku naumwa homa kabisa, mwambie akuache bhana
Na wewe ni ke?Muulize tu mama maana haeleweki kabisa.mwambie aniache kabisa nideal na wale wengine japo kwa kujibanabana
Mimi na Shunie km maji na samakiHeeee huu ugomvi siamlii
Wapo
Anayo huyoooo mwenye kutangatanga kama kware.hahahhh kazi mnayo dear
Mbona unataka kuvua samaki kwenye ndoo wakati unajua Hiyo ndoo ina mwenyewe
Mbuta nanga umekosea mkuu huwa sinaga historia ya kutia huruma hata chembe.chaahyani mpk unatia huruma
Mimi she-maleNa wewe ni ke?