Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Subiri SHIMBA aioneOooh hii itakuwa ajari maana huo mzigo ni zaidi ya danger
Povu lake halitatosha
.......
Subiri SHIMBA aioneOooh hii itakuwa ajari maana huo mzigo ni zaidi ya danger
Haaaaahaaaa![]()
SHIMBA na bodaboda yake
![]()
![]()
![]()
......
Kwani we upo wapiWapi hebu tuwekee hizo bidhaa na bei zake wengne ni Wateja tutanunua
Yanga washachukua ubingwa kwa msimu huu![]()
Aiseeshedele![]()
![]()
![]()
![]()
......
Daah usiondoke , nategemea akilianzisha usaidie kuamlia ili walau nipate chance ya kukimbiaPoa kiongozi we endelea na uvuvi wako haramia wenyewe wakija sitakusaidia hata kidogo
Tofauti yao ni macho]![]()
Messirappa gumzo Iran![]()
........
Kwelikweli... Kabisa hatuna hapo..![]()
Maandamano Fc wanapoteza muda tu huko FIFA bora hizo pesa wasongee ugali maana hata wakipewa pt 3 ubingwa hawaupati
![]()
![]()
![]()
.........
Njema mkuu mi niko mbeya jiji Leo hapa kwa suguMimi mzima mkuu, habari za vwawa
Akitoa povu namwita dabySubiri SHIMBA aione
Povu lake halitatosha
.......
Mimi nipo mail mojaKwani we upo wapi
Tuhakikishe tunavhukua ubingwa kwa pts zaidi ya 3 ili mezani Fc wakipewa huko FIFA ZisiwasaidieKwelikweli... Kabisa hatuna hapo..
Umesahau na mwili kuna mmoja hapo ni mnene tofouti na mwenzake.....Tofauti yao ni macho
Maili moja ?Mimi nipo mail moja
Ileje ila kwa sasa mbeya jijiKwani we upo wapi
Poazzz za weweMambozzzz kapukuzzz!![]()
Sugu city, wape hiNjema mkuu mi niko mbeya jiji Leo hapa kwa sugu
Tushakushua tayar. Daima mbele nyuma mwiko!Yanga washachukua ubingwa kwa msimu huu![]()