Hahaa mkuu vpMbona unataka kuvua samaki kwenye ndoo wakati unajua Hiyo ndoo ina mwenyewe
Haya maneno yako mazito msamehe huyu tunaita jogoo kinda anapalamia popoteAnayo huyoooo mwenye kutangatanga kama kware.
Mwisho atatongoza vikongwe we mwache maana kazid unaeza jua kuna tuzo anaiwania
Oooh hii itakuwa ajari maana huo mzigo ni zaidi ya danger![]()
SHIMBA na bodaboda yake
![]()
![]()
![]()
......
sawa mkuuMbuta nanga umekosea mkuu huwa sinaga historia ya kutia huruma hata chembe.chaah
Sawa mkuuMimi she-male
Hilo jibu ni tamu sanashedele![]()
![]()
![]()
![]()
......
Poa kiongozi we endelea na uvuvi wako haramia wenyewe wakija sitakusaidia hata kidogo
Shemela buana, kinyerezi mimi ni mpitaji tu, sasa hivi nipo zangu conteiner kibahasafi shemela wangu mzee wa kinyerezi nimeona picha leo kwenye lile daraja lenu linalowahunganisha na segerea halifai gari limesombwa na maji
Nzuri mkuu, za pande hizokwema mkuu habari ya kwako
Mimi mzima mkuu, habari za vwawaMkuu mzima mzee wa picha ndege

