Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,902
yani wewehahahhh sema umemiss tom n jerry
yani wewehahahhh sema umemiss tom n jerry
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiHuu umefika maana kwenye mashairi ya feruzi anasema hata idadi haukumbuki nae mamesema kama nane hivi inamaanisha hata idadi hakumbuki
Dada nimejikuta tu nimetamka hivyo maana kijana anatishavipiiiii kaka
nilisikia jina langu hukonaanzaje kukuita we ni lee
Shemela za jionitumuombee
au kaka nimekosea kumuuliza mana sijibu kuleDada nimejikuta tu nimetamka hivyo maana kijana anatisha
safi shemela wangu mzee wa kinyerezi nimeona picha leo kwenye lile daraja lenu linalowahunganisha na segerea halifai gari limesombwa na majiShemela za jioni
sio mmnilisikia jina langu huko
kwema mkuu habari ya kwakoZa jioni makapuku
Ndo hivyo dada usiogope ndo kizazi tulichopo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiii
haya tufanyesio mm
hivi lee si amekwambia usinisumbuehaya tufanye
Ni sahihi Dadaau kaka nimekosea kumuuliza mana sijibu kule
na kweli kakaNdo hivyo dada usiogope ndo kizazi tulichopo
Mkuu mzima mzee wa picha ndegeZa jioni makapuku
Tuwavumiliena kweli kaka
[emoji124]hivi lee si amekwambia usinisumbue
Nani anakusumbua Huyo, hivi hajui wewe ujiumwa mafua mm huku naumwa homa kabisa, mwambie akuache bhanahivi lee si amekwambia usinisumbue