Shunie hivyo sio mm nilivyo!!
Najua humu nishajenga image mbaya ya kuonekana labda mm muhuni napenda madem
Ila kiuharisia sina tabia hizoo!!
Uzuri wengi wao hapo washaniona nilivyo
Sipo hivyo kabisa.pimbi anaweza kuwa shahidi au Paptika..
haya mm na ww si tulishamalizana kwenye I'd yako ya ray kipindi kile ulimuomba lee akakuruhusu nikakupm na yaliisha siku ile sasa unanipm nn tena mm sijibu pm mondray