Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Njema Mr Lee habr ya ujenzi wa viwanda vipyakwema kiongoziii
Njema Mr Lee habr ya ujenzi wa viwanda vipyakwema kiongoziii
Mkuu nyagei za siku nyingiAhsante mkuu kwa magazeti
Amen kamanda mkuuAsalaam aleykum Kapuku's
Tumsifu Yesu kristo Kapuku's
Bwana Yesu asifiwe Kapuku's
Shalom Kapuku's
Tuwe na siku njema Makapuku
Nyoka mzee habr yako mkuuNiko poa sijui ww
Mkuu Chelsea anasitaili kupewa kombeUdhamini wa BlessedHope kwenye sports segment ni kama Barclays pale England
England EPL
![]()
Boss madam Sakayo hongera kwa ushindi wa jana
EPL standing table
Sasa ni rasmi M'boro ameungana na Sunderland kushuka daraja![]()
Yap watu kama wazamani sana na kamnyama pembeniUlisema ni sanamu ya watu warefu wamesimama sivyo?
kwema kiongozi wangu za huko ?Nyoka mzee habr yako mkuu
Sitaki hta kukumbuka rfk yangJana ulijisikiaje
Poa tu vpSalama tu Clkey
Mambo vipi
good morning ....!!good morning everybody here
Salama tu mkuuMkuu nyagei za siku nyingi
nawe pia captain, ubarikiweAsalaam aleykum Kapuku's
Tumsifu Yesu kristo Kapuku's
Bwana Yesu asifiwe Kapuku's
Shalom Kapuku's
Tuwe na siku njema Makapuku
Nilichogundua vifo vya watoto vinaumiza kuliko vya watu wazima maana watoto ndo huwazika wazazi na sio wazazi kuzika watoto
Anastahili sana kuchukua ubingwaMkuu Chelsea anasitaili kupewa kombe
Huku tuko kama Mungu alivyo penda tuwekwema kiongozi wangu za huko ?