dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,829
- 20,336
Ni kweliNimekuelewa
Ila watu wamekuwa kama wale *namimi unitag" wakati kusubscribe thread au jukwaa wanaweza ili kufuatilia mada wanazozipenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Mzima kabisa mkuu, vip pande hizoMkuu mzima
Dogo katisha, usiku mwema
Tukutane kesho
Usiku mwema
...........
Huku kwema mkuu habari ya hapo kibaha picha ya ndegeWazima mkuu, vip Sugu city
Kama kibaha, leo imenyesha sanaHuku ipo mkuu tena yakutosha
Huku njema mkuuMzima kabisa mkuu, vip pande hizo
Pole mkuu umeshindwa hata kutoka kwenda shamban?Kama kibaha, leo imenyesha sana
Mi niko poa dadawazima za ww
Nilitoka kwa kuchelewaPole mkuu umeshindwa hata kutoka kwenda shamban?
Pole mkuu unae kaa jirani na picha ya ndegeNilitoka kwa kuchelewa
teh teh teh finallywakuu salamaa?
baby nimekumiss kinomaaaaaaMm simba, na chelsea
nipooo kiongoziiiteh teh teh finally
Salama mkuu, niajewakuu salamaa?
wee achaaa[emoji4] [emoji4] [emoji4]
karibu bhana, mambo vipinipooo kiongoziii
uko poa jombaaaSalama mkuu, niaje