Makapuku Forum

Khaaa
 
3/Carlos Manuel Piedra Huyu alikuwa Rais wa mpito kwa muda kati ya masaa 2 hadi 5 baada ya kujiuzulu Fulgencio Battista mwaka 1959
Hii ilikuwa baada ya Makamu wa Rais naye kuingia mitini kufuatia mapinduzi yaliyoongozwa na vijana akina Fidel Castro, Camilo Confuegos n.k
Jatiba ilikuwa ikimraka Jaji Mkuu mwenye umri mkubwa zaidi ndo achukue madaraka hivyo Piedra akatangazwa Rais mpya halafu fasta ndani ya nasaa machache akina Castro walikuwa washaiteka Havana hivyo akakimbilia Ubalozi wa Marekani na akina Castro kuchukua madaraka
Yaani alidumu kati ya masaa mawili au manne tu
..........
 
2/Siaka Stevens
Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Sierra Leone mnamo March 21 1967 aluapishwa kuongoza Taifa hilo
Lakini ndani ya nusu saa tu waasi wakamzingira na kumkamata hivyo kuwa nwiaho wa utawala wake
Baadaye akafanikiwa kurudi madarakani kuanzia mwaka 1968
Yaani alitawala nusu saa tu mwaka 1967 kama Waziri Mkuu

Huyu alikuwa Rais wa Sierra Leone kuanzia mwaka 1971 hadi 1985
.......
 
Kuna hiyo picha inayoonekana hapo ikiwa na sanam za watu wamechakaa kama kuna mtu anamaelezo nayo naomba aniambie nimetamani kujua iko wapi na inahusu nini
 
Asante mheshimiwa waziri wa Makapu
Ninaomba uongozi katika chama cha Makapuku ndugu zangu wana Kapuku

Naomba kuchukua fursa hii kuuza Sera zangu kwenu
1- Nitakapo kuwa mteule wa nafasi ya makapuku kambi ya arosto nitafanya ya fatayo
a- Wale makapuku ambao soksi za viatu vyao zimetoboka nitatoa ofer ya soks za mitumba kutoka China kwa kila member pear mbili

b- Nitakapo fanikiwa kuwa bosi kutoka kambi ya arosto nitahakikisha familia za makapuku hazifugi panya, paka, na mbwa kwa sababu hawa wanachangia kutufanya tuemee kilo nyingi za sembe wakati bei ya sembe imepaa

c- Baada ya weak tatu baada ya kufanikiwa kuteuliwa nitaboresha soko la mbagamboga pale Ilala sehem ambayo makapuku hujipatia mafungu ya mchicha na bilinganya kwa bei rahisi kabisa huku wakilazimika kukesha usiku kucha
Asanteni Makapuku kwa kunisikiliza
Makofiiiiii
 
 
kazi ipo
 
1/Prince Luis Felipe
Kama mnavyojua utawala wa kifalme mrithi hujulikana mapema hata kabla ya kifo cha Mfalme
Sasa mwaka 1908 Mfalme Carlos wa Ureno aliuawa papo hapo wakati wa ziara ya kifalme ambapo pia mwanawe Luis Felipe alijeruhiwa
Sasa wakati anawahishwa hospital I tayari alitambulika km Mfalme japo alikuwa bado hajavalishwa taji rasmi...ndani ya dakika 30 akafariki dunua akiwa njiani kupelekwa hispitali kutokana na kupoteza damu nyingi

.
.
Tukutane kesho
Mwisho
..............
 
183k
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…