Makapuku Forum

Makapuku Forum

9ab342295d954cfbc6c4ba13523098f6.jpg
 
Haya mama. Na samahani kama umeghafirika. Nothing serious. Ni utani tu na kupunguza stress kama ilivyo kawaida yetu. Uwe kibonge/kimbaumbau, mweupe/mweusi, mrefu/ mfupi, msambwanda/pasi, unaweza hata usiwe mwanamke...yote is non of my business. We still cool?
una utani wa kweli we mkolomije
 
TOP TEN
John F Kennedy anafahamika kama miongoni mwa Marais wa Marekani waliokaa madarakani muda mchache zaidi
.
Sasa leo tunawajadili viongozi waliokaa madarakani(walioyatumokia madaraka) kwa muda mchache zaidi
Kati yao hakuna aliyefikisha hata kawiki pamoja akiyatumikia hayo madaraka aliyoyapata/pesa
Karibuni
..........
 
Leta mambo
 
10/Sultan Khalid Bin Bargash
713afc3eddd2e862ca06e9ad8344a7a4.jpg

Huyu alikuwa Sultani wa Zanzibar mnamo mwaka 1869 baada ya kifo cha binamu yake lakini akaonja madaraka kwa siku mbili tu
Waingereza baada ya kusikia Bargash kawa kiongozi wa Zanzibar walimpa masaa 24 aachie madaraka kwa hiyari yake lakini akawagomea na kupelekea baada ya siku moja kupita Waingereza watume meli zao za kivita na wanajeshi
Hapo ndo ikazaliwa vita iliyojulikana kama Anglo Zanzibar War ambayo ilidumu kwa muda wa dk 38 pekee iliyoisha August 27 1869 na kuwa miongoni mwa vita fupi zaidi kupiganwa duniani
Wakati wa vita hiyo Wazanzibar waliokufa na kujeruhiwa ni 500 wakati Mwingereza aliyeumia ni mmoja pekee, boti mbili zilizama
Hivyo jamaa alitawala kwa siku 2 tu
.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom