Kwa mara ya kwanza naona Wenger kamfunga Mourinho huku wote wakiwa nje ya Top 4View attachment 506076Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Herrera na Mama mchungaji
Nawatakieni wote jumatatu njema
Diego Millito
Ile Inter ilikuwa kiboko mbele alisimama binamu Eto'o na muargentina fulani hivi alikuwa hatari kwa kutupia magoli muhimu
........
Aliwatesa vibaya sana, mpaka wakatolewa, pia dembele naye hakufukuta
Ndiye kauzu aliyewazima akina Wanyama juzikati hapa na kiwasogezea kombe la EPL akina Hazard
......
Pamoja sana bitozKwa mara ya kwanza naona Wenger kamfunga Mourinho huku wote wakiwa nje ya Top 4
.
.
Shukrani kwa magazeti
.........
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ahsante kwa kuelewa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Asante kwa picha BitozNamkumbuka sana huju jamaa
Kwenye ile muvi
Nasikia picha yake ya mwisho kupost FB inaongoza kwa likes
.
.
Shukrani mkuu kwa segment kuntu
..........
.
Ni kweli naumwa nna mafua tangu juzisi mzima ww kwahiyo kupenda umeumbiwa ww tu
Kirefu chake ni mchungajihiko ni kifupi mm huwa namfupisha
Ikigoma imuhila( hicho ni kiha )kazi ipo lugha gani hiyo
[emoji23] akifungwa utamlisha [emoji23]baby wangu ale kabisa kabla ya mechi
NdioKirefu chake ni mchungaji
sawaIkigoma imuhila( hicho ni kiha )
akifungwa maelewano hamna[emoji23] akifungwa utamlisha [emoji23]
Enzi hizo uko shule ya viduduWakati huo Zidane alikuwa moto wa kuotea mbali
HapanaEnzi hizo uko shule ya vidudu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi unayoakifungwa maelewano hamna
Pamoja mkuuNamkumbuka sana huju jamaa
Kwenye ile muvi
Nasikia picha yake ya mwisho kupost FB inaongoza kwa likes
.
.
Shukrani mkuu kwa segment kuntu
..........
.
nitafanyaje sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi unayo
Pamoja sana bitoz
Asante kwa picha Bitoz
Haina noma wakuuPamoja mkuu