Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Ukasujudu mkuuIjumaa kareem.
Ukasujudu mkuuIjumaa kareem.
Ukasujudu mkuu
Shem unajua dogo aliitwa kijijin ghafla asa kule miliman kwetu hakuna network....Shemeji ndugu yako kanikimbia.
Nini tena mkuu amini utapona ndani ya masaa 12 yajayo kwa jina lishindalo majina yoteNaumwa wajameni....dua muhimu🙁🙁🙁
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mabibo City
...................
Huku mabinti hawapo ila wapo wanawake walio olewa.Asante kijanaa, huku nako. wako mabinti?
Mabibo beach![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mabibo City
...................
Hali shwariMabibo farasi hali ipoje?
Huku mabinti hawapo ila wapo wanawake walio olewa.
poa.Hali shwari
Nitakujuza siku nyingine
Naelekea Makumbusho
...............
Mambo yako 'supa' braza, karibu kijiweni.Poa sana mkuu, mambo yanaendaje hapa kijiweni?
Shem unajua dogo aliitwa kijijin ghafla asa kule miliman kwetu hakuna network....
Vumilia soon atarudi

Sawa shemejiShem unajua dogo aliitwa kijijin ghafla asa kule miliman kwetu hakuna network....
Vumilia soon atarudi
Ugonjwa unaomsumbua huyu jamaa hautibiki hospitali.Nini tena mkuu amini utapona ndani ya masaa 12 yajayo kwa jina lishindalo majina yote
Anaweza akawa mharibifu kwa watoto wetu huyu jamaa.teh teh teh umemuua.
asante kwa kunielewaSawa shemeji