Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Kwema kabisa. Uko poa?Mkuu swalama???
Kwema kabisa. Uko poa?Mkuu swalama???
Poa poaNdo naenda bafuni kuweka mwili swaaf
NitakuPM
...............
Hahaaa...![]()
Wanawake wanaweza
![]()
![]()
![]()
![]()
..............
Poa kabisaa.....Kwema kabisa. Uko poa?
Karibu kapuku forumSiyo kivile
Mi siingilii ya wanawake.Huyu hajaelewa wanawake bado.
Kweli kabisaa tatizo wwkienda pm....haeakumbuki kurudiiiDah hii mbaya sana hata kama huwa tuko nao chumbani lakin mazungumzo ya chumbani yakiisha yawapasa waje hapa sebuleni..Kuendelea kupiga zogo na mashemeji wao.... Jimena niitie hao watu wakuje huku asee..
Weekend ndo hiiPoa kabisaa.....
Tunaisubiri weekend
Mkuu Mandela mambo yanakwendajekweli mkabisa mkuu
Umemwona Patience123 lakin ni shemeji yangu wa ukweli sana...Kweli kabisaa tatizo wwkienda pm....haeakumbuki kurudiii
Karibuuu kijanaaMakapuku forum![]()
![]()
Ha ha ha haaaa...Shemeji wangu kwanza nakupongeza kwa kufanya uwamuzi sahihi maana mtumish jambilo si tu amepinda ila amenyongorota kabisa na hii sasa nitahakikisha unapata kilcho chema sana Shemeji yangu... sumbai, HOPECOMFORT hata sizzya007 waione hii kwanza halafu ntakwambia kitu shemeji..
Nipo my hubby, nachungulia huku kidogo huku nafanya ile kaz uliyonitumaTunakimbiza kamanda...Tumekuja kijiweni hapa wapi mashemeji zangu aisee... Jimena, wapi lizziebettie , Wap Patience123 wapi aggyjay wapi my one and only wife amaizing wap Nahrene bila hawa watu kijiwe huwa hakichangamki asee..
Asante kijanaa, huku nako. wako mabinti?Karibuuu kijanaa
OK we endelea na hiyo kazi ila usisahau sana kuwa na sebuleni wanakuhitaji kukuona ona kidogo...Love you too sweet...Nipo my hubby, nachungulia huku kidogo huku nafanya ile kaz uliyonituma
Love yu
Shemeji yangu wacha tufanye logistic hapa we tulia kimya ntakuambia kitu..Ha ha ha haaaa...
Shem mie nipoo jana,leo, kesho na kesho yake
nipo fit mkuu , mambo inasonga?Mkuu Mandela mambo yanakwendaje
😱😱😱😱
We jamaa ni first class material, division one type. Umejiongeza katika kiwango cha lami.
Safi sana

OK we endelea na hiyo kazi ila usisahau sana kuwa na sebuleni wanakuhitaji kukuona ona kidogo...Love you too sweet...
