EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hadi wa leo?Haonekani bro.
Hadi wa leo?Haonekani bro.
Love you more honey..
Ni kweli. Ila cha uvumilivu na upendo tuTrue.
Shemeji yangu, mzima wewe
Salama kabisa, habari ya wewe?Wakuu wa upande huu mpo?
We acha tu.Hadi wa leo?
Poa sana mkuu, mambo yanaendaje hapa kijiweni?Salama kabisa, habari ya wewe?
Shemeji toka juzi naona huna raha kabisa..Kulikon?We acha tu.
Safi sana.
Yanakwenda kabisaa.....nipo fit mkuu , mambo inasongo?
hakika.Atakua kapitiwa tu
Bora anitume mimi niwe mshenga wake.Walipo kutania ndo wanaachania... Angejiongeza saivi angekua kwa wakwe wakisuluhisha
Wote wameshaolewa.Basi akupe mdogo wake
powa poa mkuuYanakwenda kabisaa.....
Mkuu upo!powa poa mkuu
Ni kweli kabisa.Tunakimbiza kamanda...Tumekuja kijiweni hapa wapi mashemeji zangu aisee... Jimena, wapi lizziebettie , Wap Patience123 wapi aggyjay wapi my one and only wife amaizing wap Nahrene bila hawa watu kijiwe huwa hakichangamki asee..
Shemeji ndugu yako kanikimbia.Shemeji toka juzi naona huna raha kabisa..Kulikon?