Hehehehe halafu kweli, eti sura nzuri?? Nzuri kwani inaliwa??Sura hata mbuzi anayo.

Hapo sasa.Hehehehe halafu kweli, eti sura nzuri?? Nzuri kwani inaliwa??![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu sisi si malofa* ni makapuku.Hongera founder,malofa ktk ubora wetu.
Na kwako piaJumaa karim
Pole sana brazaNaumwa wajameni....dua muhimu🙁🙁🙁
shukraniNa kwako pia
Pole sana mkuu..Naumwa wajameni....dua muhimu🙁🙁🙁
Pole sana Bro... Mungu akuponye etii ila hospital ni muhimu kwendaNaumwa wajameni....dua muhimu🙁🙁🙁
morning...Nililala mkuu, ila sasa nimerejea
Good morning
Umezidi.Jana kidogo tu nivunje goti kilingeni nilipigwa kombora
pole kiongoziNaumwa wajameni....dua muhimu🙁🙁🙁
Pole sana, get well soon dear SizzyaNaumwa wajameni....dua muhimu🙁🙁🙁
Jana kidogo tu nivunje goti kilingeni nilipigwa kombora
Basi naomba nipewe Leo hiyo zawadi....morning...
Ulikosa zawadi yako jana
Ndo ujifunze sasa kuwa uchawi sio diliJana kidogo tu nivunje goti kilingeni nilipigwa kombora