shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Waaoo Jina zuri sanaKapuku living church of God
Waaoo Jina zuri sanaKapuku living church of God
Mimi piaJina la kanisa nimelipenda
santee shem wangeWaaoo Jina zuri sana
zko poa xn asee vip majukumNzuri mkuu, za jioni
kwema aisee za majukumuNjema afandee za huko
afande mndali nambie lknAfandeee
Shem tumepigwa huko...santee shem wange
mm sijui uzee shedede yaan x badala ya s hata kusoma naona uvivuzko poa xn asee vip majukum
Basi...umemaanisha nn
Mm ndio mna sitakagi presha kuangalia kwahiyo mpira umeisha halaf unaonekana ni chapombe unakesha bar mpk asbhShem tumepigwa huko...
Leo nalala bar.. bahati yangu kesho siingii kazini
kwahiyo ulitegemea lee atakupa no yanguBasi...
Nilifikiri tutashinda nikupigie ! Ila acha tuu
Pole yao man u kwahiyo wanarudi nafasi yao ya 6Mpira umemalizika
poleni mashabiki wa man u
Xhakaaaaaaaa aaaaa
![]()
ndio mkuu nimekujaCc shedede
yalaaaMungu Aendelee kukulinda. Ila mlinzi wako Shedede anatusumbua balaa kisa misuli. Jamaa mbabe sana. Mkanye!![]()

mmmh mkuu uwakika unaoHuyo atakua shedede maana had wachapu kaweka hiyo..
Aseno, this is too much.Mpira umemalizika
poleni mashabiki wa man u
Xhakaaaaaaaa aaaaa
![]()