Hii picha ni aibu
Umakini wa mtu huanzia kwenye mavazi
Nyerere alikuwa smart kimavazi hadi uongeaji,matendo n.k
JK ndo kabisa japo alikuwa "dhaifu"
Viongozi wengi mahiri mfano Mandela ukiwachunguza picha zao za ujanani utagundua kitu
Hivyo tusimshangae huyu mzee wa kuropoka na kukurupuka km mavazi yake
...........