Makapuku Forum

Wazungu huwa wanapenda kufanya vitu vya tofauti sana. Sasa jiulize akina Mangi wapo hapohapo Moshi lakini hawajawahi kufika hata geti la mlima kilimanjaro kama lile la Marangu.
Wanamsumbua Nike
Mzee wa [emoji818]

Adidas wanachonikera ni mistari yao tu ile mi3
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
 
Aisee, kuwa na decoder nyingi nayo ni kalaha sana,

Sijajua tu kwa nini DSTV waliacha kurusha hizo ligi
DSTV wanyonyaji
Siku AzamTv akiabza kuonesha EPL km La Liga na hata iwe buku 50 kwa mwezi ndo utakuwa Mwisho wao

EPL ndo bidhaa inayowabeba
Mi La Liga naangaliaga mara chache tu hata jana nimeikaushia maana kila siku watu wanapigwa 6,4 mara 5
Hata kupaki basi hawawezi?
........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…