Makapuku Forum

2000 - Vladimir Putin anaapishwa kama Rais wa Urusi.

Hii ndio ilikuwa mwanzo wa utawala wa muda mrefu wa Rais huyo wa Urusi kwa mihula mitatu tofauti huku akiwahi kushika wadhifa wa Waziri Mkuu mara moja.

Ni mmoja kati ya viongozi wachache waliobobea katika Ujasusi wa hali ya juu huku pia akiwa mtaalamu wa sanaa za mapigano.
 
1919 - Eva Peron anazaliwa.

Alikuwa ni mke wa Rais wa 25 wa Argentina, Juan Peron.

Mwanaharakati wa haki za Wanawake ( Mfeministi ) na kiongozi wa kiroho wa Argentina.

Ni mmoja kati ya wanawake mashuhuri na wanaokubalika kuwahi kutokea katika nchi ya Argentina na Amerika ya Kusini kwa Ujumla.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…