Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yes..

Hizo nyumba za zamani zibaki hivyo mkuu..

1. Kwanza ni vivutio vya utalii..ishu

2. Pili, kuna architectural legancy zinatakiwa ziwepo...zamani kulikuwa na unique design za majengo..

Sasa hivi u can't find such works..
Ni kweli, ukienda Zanzibar mji mkongwe, ukiona structure tu, utajua kweli vya zamani nivya zamani tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom