Makapuku Forum

Makapuku Forum

VITU NILIVYOJIFUNZA KUPITIA MECHI YA YANGA NA PRISON

1.Barcelona bado inatakiwa kujifunza pasi kutoka kwa YANGA
2. Niyonzima kumuita fabrigas ni kumzalilisha fabregas anaingia Mara 5 kwa niyonzima

3.maherez bado anakitu cha kujifunza kutoka kwa mwashuiya

4.kocha ambae anaweza kumrithi mourinho. Man united ni LWANDAMILA pekee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom