Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
nakunywa dompo nikiwa na lee tu peke yangu sijawahi kunywa na wala sinywiKesho pitia home basi uchukue dompo moja
nakunywa dompo nikiwa na lee tu peke yangu sijawahi kunywa na wala sinywiKesho pitia home basi uchukue dompo moja
Poa shikamoo tetraMambo
I'd yake ileile sema hayupoSiku hz anatumia id gani lee
Namtuma D akuletee..manake najua unaniogopanakunywa dompo nikiwa na lee tu peke yangu sijawahi kunywa na wala sinywi
Sijui itakuwaje hiyo sikunatamani ipotee nione kilio cha mwaka mzima cha binamu kuhusu saa![]()
Shemela unatumia dompo (shunie)Kesho pitia home basi uchukue dompo moja
Kwema mzee wa fungate, upo poa lakini?Kwema
AmekusikiaT mwambie asinifanyie hivyo shemela![]()
Ukachukue chupa ambayo haijafunguliwa,Kisha unamsubili Lee arudi, mnapata mvinyo pamojanakunywa dompo nikiwa na lee tu peke yangu sijawahi kunywa na wala sinywi
Yes mkuu..Shemela unatumia dompo (shunie)
D ndio nanNamtuma D akuletee..manake najua unaniogopa
hahahaha tutaliliwa mwezi mzima humuSijui itakuwaje hiyo siku
Mtoto wangu bhnaaD ndio nan
naonjaga tu shemela kidogo lee akija nayoShemela unatumia dompo (shunie)
shemela siwezi kuchukua lee atanigeuzia kibaoUkachukue chupa ambayo haijafunguliwa,Kisha unamsubili Lee arudi, mnapata mvinyo pamoja
MmhMtoto wangu bhnaa
Hahahaa...lee hana shida bhanashemela siwezi kuchukua lee atanigeuzia kibao
Unaguna nini sasa?
Hahaha,, umemfichaI'd yake ileile sema hayupo
OKnaonjaga tu shemela kidogo lee akija nayo
