shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Leo umeituupa khaaNajisikia vizuri kusema umeupenda. Inanifanya nisichoke kutafuta 'pini' za ukweli.
BTW, leo muda umekwenda kasi sana hadi nikatamni kuitupa saa yangu
Leo umeituupa khaaNajisikia vizuri kusema umeupenda. Inanifanya nisichoke kutafuta 'pini' za ukweli.
BTW, leo muda umekwenda kasi sana hadi nikatamni kuitupa saa yangu
Natega sikio hapaNashukuru 'B', ukiacha gospel nyimbo gani zinakuvutia na nini kinakuvutia katika muziki.
Oyoyoyoyoyoyo...well, niko kwenye mchakato wa kupata simu ya camera, mjombaangu lee empire ataniletea nitaipiga picha uione. Au kama vipi naweza kukupatia kabisa kama zawadi (kupenda si jambo dogo-ni kujitoa sadaka)
Shunie unamjua huyu mtu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan furaha yako shedede afukuzwe kazi tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] nilimiss kuskia saa binamu
Duh aiseeMuangalie basi. Mtakuja kucheza hata pono za maneno hapa muwasumbue walinzi akina Shedede[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nzuri, rangi yake kama pipi ya ivoriMmmh ,anavyoielezea lazima iwe ni nzuri sana
HakikaTuwaombee hata maadui na washindani wetu!![]()
hahahhNatega sikio hapa
Kwa kuwa atakuwa na Lee hatahitaji mlinziNipo mama. Nahangaika na kilimo cha umwagiliaji hapa Koromije. Kumbuka nilishawapa ofa ya kuwachinjia ndama mnono au ligulyati (dume) la mbuzi siku mtakapokuja kutalii huku. Ofa yangu bado iko pale pale. Na itafurahisha zaidi mkija bila mlinzi!
lucious lyonShunie unamjua huyu mtu..
![]()
natamani ipotee nione kilio cha mwaka mzima cha binamu kuhusu saa [emoji125][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni nzuri, rangi yake kama pipi ya ivori
Pole shemelalucious lyon
hivi kwa nn lkn unataka kuniliza hujui nikiona hivyo namkumbuka lee wangu [emoji24] [emoji24]
hakikaKwa kuwa atakuwa na Lee hatahitaji mlinzi
Kesho pitia home basi uchukue dompo mojalucious lyon
hivi kwa nn lkn unataka kuniliza hujui nikiona hivyo namkumbuka lee wangu [emoji24] [emoji24]
KwemaDuh aisee
Mambohakika
Siku hz anatumia id gani lee[emoji23][emoji23] lee atakua ananilinda mm ndio vizuri
T mwambie asinifanyie hivyo shemela [emoji134]Pole shemela