Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Asante sister.
Asante sister.
Poa bro.kamili gado!
Sie.......dada kwani huyo ndo shemeji????
Acha wivu.Hauko peke yako braza, hili tatizo lipo kwa wengi na mimi ni mhanga.
Ngedere Ungabu
Utaelewa siku ukiacha mbwembwe
![]()
![]()
![]()
![]()
...................
Hatujaziandika!Habari za asubuhi Makapuku family?
Kwani tulikutania hapa???? MkuuCute b amekuacha bado unamng'ang'ania tu sumbai toka akuache sijamuona hapa jukwaa la makapuku
Nimeuliza tu lakini..si kwa ubaya..Sie.......
Pole sana Mkuu Sizz wa kitaa kwa maladhi yanayokusumbua.Naumwa wajameni....dua muhimu🙁🙁🙁
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nipe tu hivyo hivyo nitaitupa mwenyewe
Na jibu pia limekuja kiroho safiNimeuliza tu lakini..si kwa ubaya..

Mmmh hiyo zawadi nayo labda ilikuwa fakeNaogopa itakudhuru...
kwema mkuuHabari za asubuhi Makapuku family?
Huku ni full jua tena linachoma balaa.Huku kwetu kuna mvua kubwa, full kipupwe...nyie huko vp wakuu?
Basi sawa.Na jibu pia limekuja kiroho safi![]()
Utaelewaje wakati kichwa kimejaa mtori.Ukurasa wa 900 na kitu na bado sijaelewa kinachoendelea humu...