Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,175
- 829,138
Duu wengine tunazitamani kweli wishes kama hizi lakini hatuzipati ng'o...!

Duu wengine tunazitamani kweli wishes kama hizi lakini hatuzipati ng'o...!

Basi naomba nipewe Leo hiyo zawadi....
Happy friday mtani wangu mshana jr
Uwe happy siku zote usikubal mtu akukwaze mtani wangu
La kutembea kama chura wa kidukuKombora gani?
Pole sana braza
Pole sana mkuu..
Mwenyezi mungu akubariki upone haraka.
Pole sana Bro... Mungu akuponye etii ila hospital ni muhimu kwenda
pole kiongozi
pole mkuu!Naumwa wajameni....dua muhimu🙁🙁🙁
hahahaha...Sumbawanga nini?La kutembea kama chura wa kiduku
Uko poa mkuu!pole mkuu!
Pole sana, get well soon dear Sizzya
thanx a lot...Mussolin5
No one is in charge of your happiness except yourself
Stay happy bro.......amazing Friday to you
kamili gado!Uko poa mkuu!
And you will feel much better kila dakika......I feel much better vile umenipole....

Hauko peke yako braza, hili tatizo lipo kwa wengi na mimi ni mhanga.Duu wengine tunazitamani kweli wishes kama hizi lakini hatuzipati ng'o...!![]()
![]()
![]()
![]()
dada kwani huyo ndo shemeji????And you will feel much better kila dakika......
Pole hazitaisha![]()
Ngedere UngabuUkurasa wa 900 na kitu na bado sijaelewa kinachoendelea humu...