lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Akafie mbali.Amen. Asitusumbue kabisa my love

Hahahaa mtumishi noma huyu maombi maombi kumbe anavizia wake za watuMtumishi kaa mbali na shemeji yangu huyu everlenk
Akafie mbali.
tatizo hayuko sawaCute b amekuacha bado unamng'ang'ania tu sumbai toka akuache sijamuona hapa jukwaa la makapukuSiwataki.. .mkuu Nina mke kipenzi cute b
Ila mtumishi baki kuhubiri neno tuuu
HahahahahNg'ombe hazeeki maini
![]()
Hii imekaa poa.MPANGILIO WA RATIBA ZA MABASI YA MWENDO KASI KESHO.
MABASI YATAANZA SAFARI SAA KUMI NA MBILI KASORO ROBO KUTOKEA DEPOT YA JANGWANI KWA MPANGILIO UFUATAO.
1. RUTI YA KIMARA- KIVUKONI Mabasi Sita (6). Kati ya mabasi Hayo sita wakati wa Kutoka Jangwani matatu yataenda Kimara na Matatu Kivukoni.
2. RUTI YA KIMARA - KARIAKOO Mabasi Sita (6). Kati ya hayo Matatu yataelekea Kariakoo na Matatu Kimara.
3. RUTI YA UBUNGO - KIVUKONI Mabasi nane (8). Kati ya hayo Mabasi Manne yataelekea Ubungo na Manne Kivukoni.
4. RUTI YA UBUNGO - KARIAKOO Mabasi nane (8). Kati ya hayo Mabasi manne Yataenda Ubungo na Manne yataenda Kariakoo.
5. RUTI YA UBUNGO - MOROCCO Mabasi nane (8). Kati ya hayo Manne yataenda Ubungo Manne yataenda Morocco.
6. RUTI YA MOROCCO - KARIAKOO Mabasi sita (6). Kati ya hayo mabasi Matatu Morocco na Matatu Kariakoo.
7. RUTI YA MOROCCO - KIVUKONI Mabasi nane (8). Kati ya Hayo Mabasi Manne yataenda Moroco na mabasi manne Kivukoni.
DESPATCH PLAN SAA KUMI NA MBILI KAMILI.
1. Kimara Terminal Mabasi Sita (6)
2. Ubungo Terminal Mabasi kumi na mbili (12)
3. Morocco Termial Mabasi kumi na moja (11)
4. Kariakoo Terminal Mabasi kumi (10)
5. Kivukoni Terminal Mabasi kumi na moja (11)
JUMLA.NI MABASI HAMSINI (50)
.............
Na escort ya polisi apewetatizo hayuko sawa
Huyu mtumishi ni balaa.Hahahaa mtumishi noma huyu maombi maombi kumbe anavizia wake za watu
Nimeacha mkuuHahahaa mtumishi noma huyu maombi maombi kumbe anavizia wake za watu
so far so good...MPANGILIO WA RATIBA ZA MABASI YA MWENDO KASI KESHO.
MABASI YATAANZA SAFARI SAA KUMI NA MBILI KASORO ROBO KUTOKEA DEPOT YA JANGWANI KWA MPANGILIO UFUATAO.
1. RUTI YA KIMARA- KIVUKONI Mabasi Sita (6). Kati ya mabasi Hayo sita wakati wa Kutoka Jangwani matatu yataenda Kimara na Matatu Kivukoni.
2. RUTI YA KIMARA - KARIAKOO Mabasi Sita (6). Kati ya hayo Matatu yataelekea Kariakoo na Matatu Kimara.
3. RUTI YA UBUNGO - KIVUKONI Mabasi nane (8). Kati ya hayo Mabasi Manne yataelekea Ubungo na Manne Kivukoni.
4. RUTI YA UBUNGO - KARIAKOO Mabasi nane (8). Kati ya hayo Mabasi manne Yataenda Ubungo na Manne yataenda Kariakoo.
5. RUTI YA UBUNGO - MOROCCO Mabasi nane (8). Kati ya hayo Manne yataenda Ubungo Manne yataenda Morocco.
6. RUTI YA MOROCCO - KARIAKOO Mabasi sita (6). Kati ya hayo mabasi Matatu Morocco na Matatu Kariakoo.
7. RUTI YA MOROCCO - KIVUKONI Mabasi nane (8). Kati ya Hayo Mabasi Manne yataenda Moroco na mabasi manne Kivukoni.
DESPATCH PLAN SAA KUMI NA MBILI KAMILI.
1. Kimara Terminal Mabasi Sita (6)
2. Ubungo Terminal Mabasi kumi na mbili (12)
3. Morocco Termial Mabasi kumi na moja (11)
4. Kariakoo Terminal Mabasi kumi (10)
5. Kivukoni Terminal Mabasi kumi na moja (11)
JUMLA.NI MABASI HAMSINI (50)
.............
Mkuu naomba uniache.tatizo hayuko sawa
Hahahaaa![]()
anaweza toroka
Na wewe usinifatilie basiMkuu naomba uniache.
Mkuu wa nn?Mkuu naomba uniache.