Makapuku Forum

Kumbuka nilishasema jambo lolote kumhusu madam ni lazima mpitie kwangu hamuwezi kwenda kwa madam bila ya kupitia kwangu
Nyagei nawe naona unapambana. Naona nilipitwa au nimesahau tu. Mrs Nyagei ni nani? Sakayo ama? Kama vipi nipe kazi ya ulinzi nimfundishe kazi Shedede. Hutakuwa na wasiwasi tena mkuu na malipo yangu ni kidogo siyo fortune kama Shedede anavyomkamua Lee
 
Wazazi wengine wamepinda duh! Katongole atakua ananuka balaa na mademu wakianza kumkimbia matatizo kibao ya kisaikolojia yanaanza - hasira, anti social tendencies, low esteem, loneliness, depression, inferiority complex na mengineyo kibao. Mzazi huyu huyu tena utamwona analalamika kuhusu matatizo ya mwanae. Kumbe angemsikiliza mwalimu wakasaidiana kuhakikisha kuwa Katongole anakuwa mtanashati yote haya yasingetokea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…